PRODUCER DOUBLE Y WASANII WADODOMA WAKIACHA HAYA WATAFANIKIWA SANA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, January 16, 2018

PRODUCER DOUBLE Y WASANII WADODOMA WAKIACHA HAYA WATAFANIKIWA SANA

Msanii na producer wa muziki kutoka Dodoma Tanzania Double Y ameyataja mambo ambayo yanawafanya wasanii wadom kuzidi kuonekana hawapigi hatua.
Image may contain: one or more people and screen
akiongea nakipindi cha micharazo time toka 98.4 dodoma fm radio Double amesema wasanii wengi wamekuwa wakishindwa kufikia malengo yao kutokana na kushindwa kujitambua wanatakiwa kufanya nini kupitia sanaa, Double anasema wasanii wengi wanatka sifa kufahamika kidogo basi wanaridhika kupita kiasi kitu ambachoi kinawafanya wasipige hatua hata kidogo.

Pamoja na hayo Double amesema wasanii wengi wanashindwa kufikia malengo kwasababu wanaongea kuzidi matendo ya kazi zao ambazo wanazifanya kwakiasi kikubwa.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages