
Onesix amesema kwasasa tayri amesharekodi ngoma nyingi ambazo anapanga kuchagua ni ipi itoke kwasasa na ipi isubiri ili ujio wake wakurudi uwe mkubwa na wenye manufaa katika maisha yake ya muziki.
Aidha amesema tayari amesha shoot video mbili ambazo nazenyewe ziko tayari kwaajili yakutoka na sasa alichokifanya nikubadilisha aina ya muziki anao ufanya kulingana na soko la muziki linahitaji kitu gani.