Msanii wa muziki kutoka WCB amezungumza nakutaja baadhi ya vitu asivyovipenda kwenye muziki wa bongofleva nchini pamoja na alichokisema kuhusu alikiba kupenda wimbo wake wa Tuachane.
akizungumza na Dodoma fm radio kupitia kipindi cha micharazo time Lava lava amesema anashukuru Mungu kwakuweza kumsaidia kutoa ngoma zake na kupokelewa vizuri kwa mashabiki zake hususani wanawake.
Aidha lava lava amesema kiukweli kwa upande wake alipokea vizuri kauli ya Ally kiba kuwa anapenda sana kusikiliza wimbo wake wa Bora tuachane kwasababu kipindi anakuwa alitamani sana kufikia ukubwa wa Ally kiba.
Kuhusu kitu asichokipenda kwenye muziki wa bongofleva Lavalava amesema kitu asichokipenda ni uwepo wa timu za muziki kwani mara nyingi zimekuwa zikileta mpasuko wakimuziki na watu kuchukiana hata kama wakifnaya kazi nzuri.
kwasasa Lavalava ameachia nyimbo anatamba na wimbo wake KILIO.
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Sunday, January 21, 2018
LAVA LAVA AFICHUA ASICHO KIPENDA KWENYE MUZIKI WA BONGO FLEVA.
Tags
# BURUDANI
Share This
About inngelangelanews.blogspot.com
BURUDANI
Labels:
BURUDANI
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.