JESHI LA POLISI MKOA WA DODOMA LATOA TAMKA BAADA YAKUMKAMATA ANAEJIITA NABII TITO.
#Nimarufuku kuambatananae.
KAMANDA WA POLISI DODOMA |
Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma Giles b Muroto amewataka watu kuacha kuambatana naye anaejiita nabii Tito kwani anachokifanya ni kinyume cha sheria nao watakamatwa nakuchukuliwa hatua.
SACP Muroto amesema mshikiliwa anatamatatizo ya akili kwani
SACP Muroto amesema mshikiliwa anatamatatizo ya akili kwani
Tarehe 23 mwezi wa 6,2014 alilazwa katika hospitali ya muhimbili nakutibiwa magonjwa ya akili na aliruhusiwa na wake Dr. William na kutakiwa kurejea tena kwa uangalizi wa tiba tareh 9.7.3014 lakini hakurejea.
Pia mtuhumiwa alifikishwa hospitali ya mirembe ya dodoma kwa uchunguzi uliofanywa na dr Dickosn Philip nakugundulika kuwa ni mgonjwa wa akili wa muda mrefu.
mtuhumiwa amekamatwa akiwa na majoho (Kanzu) yenye misalaba 2,vipeperushi 80,biblia moja na msalaba,vifaa anavyotumia kutangaza imani inayikwenda kinyume na maadili mema ya Taifa.
Jeshi la polisi linamshikilia kwa kosa hili,pia kufanya uchunguzi wakina dhidi yake lakini pia kumnusuri yeye mwenyewe asiweze kudhuliwa na watu imani tofauti.watu waache kuambatana naye kwakuwa anayoyafanya ni kinyume cha sheria nao watakamatwa na kuchukuliwa hatua.
@ngelangelanews