![]() |
SNURA |
Baada ya swali ambalo lilionesha kuugusa moyo wa SNURA alisema nikijibu hilo swali unaweza jutia kibarua chako na unaweza hama Dodoma bila kujua kwaio tafuta kazi mahala pengine ndio uniite tena kuniuliza hilo swali lako. SNURA ALIJIBU HUKU AKICHEKA KWA SAUTI KUBWA.
Wakati akiendelea kulazimishwa kujibu swali hilo SNURA aligoma kabisa kujibu nakusema anawajua izuri watu wadodoma kwaio anaomba akifika Dar ndioaulizwe tena swali la mzazi mwenzake aliepo Dodoma.
Hivi karibuni SNURA alilalamika kutowasiliana vyema na baba wamtoto aliezaa nae ambae ni mfanyakazi wa club moja maarufu mkoani Dodoma (jina tumelihifadhi)
SOURCE MICHARAZO TIME 98.4 DODOMA FM RADIO
NA mwandishi wetu.