Moja ya taarifa zilizozagaa mitandaoni ni kuwepo kwa taarifa inayo wahusu kundi la Rotten Blood kuingia mdudu mtu baada ya mmoja wa mwanakundi kutishia kujitoa kutokana na kushindwa kutimiziwa mahitaji yake muhimu na uongozi wa kundi hilo.
![]() |
KUNDI LA ROTTEN BLOOD |
Moja ya vitu ambavyo vimeleta shida ni uongozi kuthamini kazi za kundi nakuacha kutoa mchango kwenye kazi za mtu mmoja mmoja.
Taarifa hiyo inaonesha kundi hilo limekuwa likifanya upenedleo kwa baadhi ya wasanii akiwemo MYSON ARTIST nakuacha wangine wakisugua benchi.
HII NI TAARIFA AMBAYO IMEZAGAA MITANDAONI
.Hili Ni kundi linalo fahamika kama Rotten Rootten Blood x watu wabaya linalo present arusha...pia ina label inayo fahamika kama #Goldenskoolmusic imesign wasanii kama Nasho Busness Panishit Tz na wasanii wengine wengi...ila Kuna sitofaham imetokea kwenye label ya #Goldenskoolmusic Sitofahamu hiyo inamuhusu msanii anafahamika kwa jina la Panishi tz kutokana na kucheleweshewa kazi zake mfano kama album yake ya #Maradhi ambayo ilishakamilika tangu mwaka Jana Ila inasikitisha kuona mpaka leo album iyo haijatoka...
hiii imetokea kulalamika Sana kwa msanii uyo wakuitwa panishit tz ambapo kwa siku ya Jana aliweweza kupost kwenye ukurasa wake wa Facebook na Instagram pia kwamba kwanini kazi zake hazitoki wakati anakazi nyingi ambazo kashafanya Ila chakushangaza zinatoka kazi za kundi tu icho ndo kitu ambacho rapa panishit Tz anacholalamika....
Jana alitokea kufunguka ya moyoni pia alichosema kuwa anaitaji kusimama kama jeshi la mtu mmoja kwasasa yani kufanya kazi kama solo artist..
Ila uongozi wa Label iyo ya #Goldenskoolmusic imekanusha swala ilo imesema kuwa rapa panishit Tz ataendelea kuwepo #Goldenskoolmusic maana tayari wanamkataba pia kazi zake zitaendelea kufanyiwa kazi na kuwekewa bajeti yakutosha alizungumza Mack Given na Myson Artist kwenye post aliyoandika panishit Tz kwenye ukurasa wake Facebook...Pia #Goldenaskoolmusic imemuomba rapa huyo azidi kuwa na uvumilivu kwani wanaitaji kuufikisha mziki wao sehem kubwa Sana yeye tu aweze kukaa chini na label iyo waweze kuongea vizuri ili kujuwa wanafanyaje kazi zifike kwa mashabiki......