PRO DOUBLE KUTOKA DODOMA APATA DEAL LA KUTENGENEZA COLLABO YA CHINDO MAN FT SNOOP DOG. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, May 5, 2017

PRO DOUBLE KUTOKA DODOMA APATA DEAL LA KUTENGENEZA COLLABO YA CHINDO MAN FT SNOOP DOG.

mzalishaji wa ngoma za bongofleva nchini DOUBLE Y ambaye ni mkazi wa dodoma anatarajia kutengeneza wimbo ambao atashiriki msanii wa ulimwengu SNOP DOG.

Hayo ameyasema DOUBLE Y kupitia ukurasa wake wa facebook na Instagarm kwa kupost taarifa inayoonesha kuwa moja ya wasamii nchini wakuitwa CHINDO MAN amempa nafasi mtayarishaji huyo kuandaa wimbo wake ambao atashiriki msanii wakimatifa SNOP DOG.

HIKI NDICHO ALICHOA ANDIKA DOUBLE Y KUPITIA FACEBOOK

Tankx Broda kwakunipa nafasi kubwa ya Collabo kubwa Duniani Nikiwa kama (Producer) au Mtarishaji wa Nyimbo hiyo kubwa Dunia Nzima salute Broda ## CHINDO MAN azungumia Collabo yake na SNOOP DOGG na Kifo cha Mtoto wake Marekani 

Kwenye moja ya mahojiano aliyoifanya msanii CHINDO MAN Amesema anatamani kufanya kazi na SNOP DOG na yupo kwenye hatua za kumtafuta msanii huyo mkubwa duniani na pindi akimpata basi wimbo huo angependa utengenezwe na producer wa Bongo ambaye ni DOUBLE Y kutoka mkoani Dodoma.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages