akizungumza na kituo cha radio kutoka 98.4 Dodoma fm radio kupitia kipindi cha Micharazo Time kinachoongozwa na Benedict Ngelangela Mesen Selecta tuhuma alizopewa na Manfongo sio za kweli kwani pesa alizozipata zilikuwa hazimuhusu Manfongo alilipwa yey na ilibidi amtafute manfongo kama rafiki yake kumpa dili hilo ambalo angeweza hata kumpatia msanii mwingine.
Ameongeza kwa kusema Manfongo anaficha ukweli na anajitahidi kutapa tapa kwasababu hana jipya kwenye muziki kwasasa ndio maana antafuta story zakuzungumziwa kwenye vyombo vya habari.
TAZAMA VIDEO YOTE HAPA KUTAZAMA FULL INTERVIEW.