NTYUKAAA... WAKAZI WANTYUKA JUMAPILI KURUSHWA NA SHOW YA KIBAO KATA TOKA KWA TWO DADAZ NA MC CHOLA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, April 22, 2017

NTYUKAAA... WAKAZI WANTYUKA JUMAPILI KURUSHWA NA SHOW YA KIBAO KATA TOKA KWA TWO DADAZ NA MC CHOLA.

SASA kama wewe ni mkazi wa Dodoma usipitwe na show hii kali kabisa kutokea itakayo fanyika siku ya jumapili kuanzia saa 2 usiku hadi majogoo katika mji wa NTYUKA katika ukumbi wa NEW NTYUKA PUB Kwakiingilio cha shilingi 2000 tu.

kumbuka itaongozwa na MC CHOLO pamoja na wadada wamisambwanda wakuitwa TWO DADAZ.

HII SIO YAKUKOSA KABISA.
Image may contain: 3 people, people smiling
two dadaz wakiwa na mc cholo.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages