lakini miongoni mwa vitu ambavyo vimekuwa vikiwatesa vijana wengi ni kushindwa kuonekana kwa vijana wenye vipaji vya namna hiyo nakuishia mtaani na kushindwa kufikia malengo yao hata yakuwasadia vijana wengine.
SASA MTANDAO HUU UNAKUKUTANISHA NA PICHA KADHAA ZA MREMBO AMBAYE ANAPATIKANA NDANI YA DODOMA AMBAYE ANAWEZA KUFANYA MAKUBWA ENDAPO AKIONEKANA KUTOKANA NA JINSI ANAVYOIJUA KAZI YAKE. ANAITWA ANASIA JOSEPH.



lakini mrembo huyu kutoakana nakuwa na asili yake ya weusi anaweza kufananishwa na mremboa (model) ambaye ni mweusi kuliko wote Africa wakuitwa ALAK WEK ambaye amekuwa na mafanikio makubwa kutokana na rangi yake ya asili pamoja na kuimudu kazi yake na amekuwa na soko kubwa zaidi Marekani.
TAZAMA PICHA ZA ALAK WEK ambaye anaweza fanywa kama role model wake.

