BUJANLAU AMTANGAZA MTANGAZAJI ATAE IONGOZA DOM STAND UP ONLINE TV, MJUE HAPA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, April 17, 2017

BUJANLAU AMTANGAZA MTANGAZAJI ATAE IONGOZA DOM STAND UP ONLINE TV, MJUE HAPA.

Kupitia ukurasa wa facebook wa msanii wa hip hop kutoka Dodoma wakuitwa Bujanlau ameandika maneno ambayo yanaonesha kuirudisha upya Online TV ilikuwa imesimama kwa muda.

SOMA ALICHOANDIKA HAPA.
Image may contain: 1 person
BUJNLAU
ala haijafa bado tunaendelea na #HARAKATI Hizo na sasa TUMEBORESHA ZAIDI......
.
KABLA YA UTAMBULISHO WA NGOMA YANGU MPYA YA KUITWA #PRESHA NIMEAMUA KWANZA NIMUINTRODUCE Official Presenter ambaye atakua #HOST wa Matukio Tofauti Tofauti ya #DOM_STAND_UP_ONLINE_TV hii itaanza tuu baada ya utambulisho wa ngoma yetu pendwa ya kuitwa #PRESHA....
JAMAA YUPO POA SAANA ANAITWA Mwalipesa Jobless Mp Haya matukio yatakua yanarushwa kila jumapili kupitia #YOU_TUBE......AKHSANTENI KWA SAPOTI AMBYO MNAZIDI KUONYESHA KILA KUKICHA.........
#bujanlau_Knowledge_BTC_
#Dom_Stand_Up_ONLINE_TV
.

.
ENDELEA KUFUATIA KOTE twitter,instagram na Facebook...👉BUJANLAU


Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages