
Moni aliandika maneno yakuashiria kukubali HARMORAPA baada ya kupost picha ya msanii huyo nakuandika maneno yanayoashiria kukubali harakati za msanii huyo chipukizo lakini mwisho kabisa aliandika HARMORAPA ndie msanii wake bora kwa mwaka 2017.
SOMA ALICHOANDIKA.
Mwanangu @harmorapatz1 mtoko wako kama wa #BALIMI
yaani umekalisha vima wote
Nimeona nikutafutie a.k.a mwanangu mpambanaji
#HARMORAPA a.k.a #BALIMI
ooi huyu ndo msanii wangu mkali 2017 #kibokoYaMabishoo
NA aliambatanisha na picha hii.
