
msanii huyo hii leo atasheherekea siku yake hii muhimu kwa kuwaalika mashabiki zake wadau wa mzuki pamoja na watu mbalimbali.
baadhi ya burudani kumwagika toka kwa wasanii mbalimbali kama MONI wa centralzone BIG BORN 90, TINSOUL na BREAZY huku wasanii wote wa PEREMENDE MUSIC watakuwepo.