
Muongozai wa kipindi hicho Benedict Ngelangela alimpigia simu msanii huyo kwakujua ni jinsai gani anaweza kuwajibu wasanii wanampigia simu kumpatia vitishio kupitia wimbo wake huo ambao unawekwa kama wimbo wa kuwadiss baadhi ya wasanii ambao wanafanya game la muziki Arusha.
hivi karibuni msanii huyo aliposti maneno kwenye ukurasa wake wa facebook akielezea ni nini kimemkuta baada yakuachia wimbo huo na inasemekana amezuiliwa kuingi mjini Arusha na baadhi ya wasanii waliotajwa kwenye wimbo huo.
HII NI POST YAKE KUPITIA FACEBOOK.
Huwezi kunitishia kufika Arusha kisanimekutaja kwenye ngoma yangu bro nakuheshimu sana napia natambua mchango wako kwenye game ya hiphop Arusha but unapokuja swala la kuambiwa ukweli wengi Ndo huwa mna mind ila pia kumbuka mm nimtanzania na nalindwa na katiba ya nnchi naweza pia kukushtaki kwa kunitishia
Arusha nitakuja tu huwezi nitisha na pili kam hujui nimezaliwa Arusha nimekulia Arusha nime...
SASA BONYEZA HAPA USIKILIZE MAJIBU YAKE BAADA YAKUPIGIWA SIMU NA MTANGAZAJI ALIE IGIZA KAMA MSANII ALIYESEMWA KWENYE WIMBO WAKE.
Source MICHARAZO TIME 98.4 DODOMA FM RADIO.