Huu ni wimbo mpya toka kwa msanii wa arusha ambye anafanya shughuli zake anazifanya ndani ya mkoa wa Dodoma anaitwa My SON kutoka ROTTEN BLOOD na kwenye wimbo huu ameonekana kukerwa na baadhi ya wasanii kubadilisha style zao za muziki hususani wale wa HIP HOP.

Mwanzo wa video aneonekana MYSON akizitaja ngoma mbili toka kwa weusi ambao ni Waya na Sweet mangi ya Nick Wa pili kama ni nyimbo ambazo hajazielewa kabisa kuwa hawpo kwenye misingi ya HIP HOP.
TAZAMA VIDEO YOTE HAPA CHINI.
BONYEZA HAPA KUITAZA FULL VIDEO.