(VIDEO) CHIBI DAYO AONESHA UWEZO WA HATARI NDANI YA MICHARAZO TIME YA 98.4 DODOMA FM RADIO. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, February 1, 2017

(VIDEO) CHIBI DAYO AONESHA UWEZO WA HATARI NDANI YA MICHARAZO TIME YA 98.4 DODOMA FM RADIO.

Msanii wa kibao kata Chib dayo siku ya tarehe mosi feb 2017 alitembelea ndani ya micharazo time ya 98.4 dodoma fm radio kwa lengo la kuendeleza harakati zake za kuutangaza muziki wa kibao kata.

Chibby Dayo alisema kwasasa yupo ndani ya mkoa wa Dodoma kwa lengo kuwapa burudani wakazi wa Dodoma kwa muda wa mwezi mmoja.

lakini ktu ambacho kiliwashangaza wengi ni uwezo wake wakutoa burudani aliouonesha live kwenye kipindi hicho cha micharazo time ndani ya 98.4 Dodoma fm radio.

TAZAMA VIDEO HII KUTOKA DOTV.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages