
Breazy ambae kwasasa anafanya kazi na kampuni ya BIORN ENTRTIMENT alikuwa kwenye exclusive interview ya kipindi cha micharazo time ambapo alipata nafasi yakuzungumza mengi kuhusu muziki wake na malengo yake ya mwaka 2017.
Mtangazaji wa kipindi hicho Benedict Ngelangela alitaka kujua kama msanii huyu aliwahi kujihusisha na tetesi za ushirkina ndipo msanii huyo alivyo simulia mkasa mzima na kipi kilicho sababisha yeye kwenda kwa mganga na kilicho mtokea baada ya kufanya jambo hilo.
BONYEZA HAPO CHINI KWENYE MAANDISHI MEKUNDU KUSIKILIZA.
BONYEZA HAPA KUMSIKILIZA BREAZY AKISIMULIA ALIVYO ENDA KWA MGANGA ILI APANDISHE MZIKI WAKE