Akizungumza na Fleva no Limit Ya Redio Kibo Fm Kinachoongozwa na Deo Kessy The heavyweight Presenter amesema hawezi kufanya hivyo kwani wapo baadhi ya wasanii wakubwa anaofahamiana nao angewatumia hao kupata namba za hao wasanii "siwezi kufanya hivyo ni watu wanataka kuniharibia na hawataweza hata kidogo nikitaka namba za msanii naomba kwa wasanii wengine siwezi omba kwenye media au mashabiki"amesema Sally.
![]() |
SINGEL SALLY |
Kuhusu Producer aliye mleta studio kwake Nott amesema ameshaanza kazi watu wote wana karaibishwa kwende kurecod nyimbo yoyote.
Pia Sally akizungumzia ishu ya kufanya interview Live kazi zinambana ila mashabiki wake wawe na subira mambo mazuri yanakuja.
Kuhusu Colabo na wasanii wenzake wa Kilimanjaro amesema anayemhitaji amtafute watafanya Nazi "ila jumapili ndo nipo free waje high-level watanikuta"ameongeza sally.
NA Deogratius Kessy Kibo fm.