Huu waraka ni msafi kama Sandaa..
Ila utachukiwa kama Kifo kwa wale watakaojisandia.. Napenda kuchukua fursa hii kusema kuwa Mabadiliko ya MTU anayomwenyewe hakuna wa kukubadilisha kama hujataka kubadilika.
Vijana wenzangu tukumbuke yakuwa mda unakwenda na tuna bweteka sana tujitenge na anasa kama ukoma..

![]() |
#WANAWAKE.
Hawa ndio mama zetu kama alivyo sema @naytrueboy ila now days wamebadilika wanadanganywa na utandawazi unakuta kila siku wanawaza kushindana kwenye Mawigi,ukubwa wa makalio,wanaume wenye hela siku hizi hawaogopi wala maradhi maskini ya Mungu kila siku mnajikuta Kwenye instagram angali mnalala njaa mnajikuta wazur kwa njee unatakiwa kuwa mzuri hadi ndani uzuri angali huna Akili ni Sawa na kukata tawi la mti huku umelikalia
Msichana,mwanamke,binti mda unakwenda utakuwa mama wa aina gani kama hutaki kubadilikaaa na utaishi na jamii IPI kwa vimini,kila MFA dressing table si wa lolote wala chochote wagalagala kitandani kama nyoka amkaaa Mwanamke.
#WANAUME.
Huwa tunaaminika kama baba wa familia kichwa cha familii ukubwa huo syo kufungua zipu ni kuwa deep Unakuta wanaume wengine kama wanawake siku hizi hawataki kazi ngumu kutwa kucha kwa mitandao na story za Mademu khaaa Punguzeni

Vijana wenzangu naomba mtambue yakuwa msingi imara wa Maisha upo Ujanan ukiwa na nguvu.. Kama wewe ni mpole utakuwa na marafiki wapole.
Kama wewe ni mwizi washikaji zako watakuwa wezii.
Kama unatumia madawa ya kulevya na washikaji zako watakuwa wanatumia madawaa Amka sasa #2017 Mabadiliko unayomwenyewe madadiliko ninayozungumzia syo ya siasa Ya Maendeleo yako Binafsi

Pambana kwa malengo
Niwatakie jumapili njema kama yupo aliyokwazika kwa ukwelii huu anisamehe najua hapatakosekana wakosoaji ila sijali Maana Yesu alikuja kutukomboa Wako waliyompinga mwishowe wakajutaaa.
Na Deogratius Kessy Kibo Fm
Na Deogratius Kessy Kibo Fm