sasa kwa mwaka huu 2016 ameonesha kujipanga zaidi kuliko miaka yote kwani wasanii wote waliopo kwenye list hiyo sio wamchezo mchezo.
Show hiyo imepangwa kufanyika tarehe 27 january 2017 katika ukumbi wa kili time makulu.
HII NI LIST YA WASANII WATAKAO JUMUIKA KATIKA SHOW HIYO.
Onesix
Brezy
Bigborn
RapNation
Baba Danny
Da Hawa
Nillah
Nickray
![]() |
1 |