FOBBY MSANII WA BONGO FLEVA |
Kupitia kipindi cha micharazo time toka 98.4 dodoma fm radio msanii wakufahamika kama Foby Star ambaye tangu mwaka jana alikuwa akitamba na wimbo wake wa STAR amesikika akizungumzia harakati za muziki pamoja na mipango yake kwenye muziki wa bongo.
Foby amemwambia mtangazaji wa kipindi hicho Benedict Ngelangela kuwa aliwahi kufatwa na label kubwa za muziki bongo lakini alikata kwasababu ya malengo yake naye ni kumiliki wasanii wake na kuwasimamia kwaio hayuko hajafikiria kujiunga na label yoyote kwasasa.
pia foby amesema mwishoni mwa mwezi huu anatarajia kuachia wimbo mpya ambao utavunja raekodi kuli wimbo wa STAR.
BONYEZA HAPA KUSIKILIZA FULL INTERVIEW
NA HII NI VIDEO YA WIMBO WAKE WA KWANZA STAR SHUKA CHINI KUITAZAMA.