(AUDIO) JACCO BEAT ASEMA AMEENZA KUTAFUTWA NA KAMATI YA DOM KWANZA BAADA YAKUSEMA HAWANA MSAADA KWENYE MUZIKI WA DODOMA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, January 5, 2017

(AUDIO) JACCO BEAT ASEMA AMEENZA KUTAFUTWA NA KAMATI YA DOM KWANZA BAADA YAKUSEMA HAWANA MSAADA KWENYE MUZIKI WA DODOMA.

Hivi karibuni msanii wa dodoma Jacco beat aliindika kwenye ukurasa wake wa facebook kuwa hana imani na kamati iliyo wekwa na mh Anthony Mavunde kusimimia na kuwasaidia muziki wa Dodoma kwani wapo kimaslahi zaidi na kushindwa kuwasaidia kuwasadia wasanii wa hapa nyumbani.
Image may contain: 1 person
JACO BEAT

Kupitia kipindi cha micharazo time toka 98.4 dodoma fm radio kipindi kinachoongozwa na Benedict Ngelangela pamoja na Dj Tony Jacco amesema amekuwa akitafutwa na miongoni mwa watu ambao wapo kwenye kamati hiyo lakini amekuwa akiwachomolewa kutokana na kuhofia usalama wake.

pamoja na hayo Jacco amesema haogopi vitisho kwani alichokisema ni ukweli na baadhi ya wasanii wanamuunga mkono kwa hilo.

MSIKILIZE HAPA CHINI AKIFUNGUKA.
BONYEZA HAPA KUMSIKILIZA

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages