Leo ni Sikh ambayo Wakazi wa Dodoma ambao wanafika new maisha club Dodoma watapata kuisikia ngoma mpya ya Msanii kutoka Dodoma Bujanlau aliyomshirikisha Darassa wimbo unaitwa Nitaandika tu.
Kumbuka wanawake wataingia bure na wanaume kwa shilingi elfu saba tu.