Msanii wamuziki kutoka Dodoma Nelly wamanchali amewataja wasanii anaonwakubali zaidi ndani ya mkoa wa Dodoma.
Akizungumza na kipindi cha Micharazo time toka 98.4 Dodoma FM radio, Nelly aliulizwa ni wasanii gani ambao anawakubali zaidi ndani ya mkoa wa Dodoma, Nelly hakusita kuwataja wasanii hao nakusema wasanii anao wakubali kwasasa ni wasanii wanao unda kundi la C.M.A ambo ni Giftedson ambae anashika na wimbo wake wa I am GIfted pamoja na Teddy Wizzy msanij pekee wa Rap ndani ya Dodoma anae fanya vizuri.
Kwasasa Nelly anawimbo mpya unaitwa katotoo.