
akizungumza na mtangazaji wa kipindi cha Micharazo Time toka 98.4 dodoma fm radio Young 60 amesema anatarajia wimbo huo utafanya vizuri zaidi kwani ni wimbo wenye idea nzuri na wakuvutia pamoja na uandalizi wake umekua wakiwango cha juu.
akizungumzia kuhusu kama wimbo huo utakuwa na video Young 60 amesema lazima atengeneze video hiyo lakini kwasasa hata watumia madirector kutoka Dodoma kwani amezoeleka kuwa yeye ni wadodoma dodoma nakusema anahitaji vitu vipya zaidi.
BONYEZA HAPA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD WIMBO HUO