BONYEZA HAPA MOJA KWA MOJA UITAZAME VIDEO HIYO.
Kupitia ukurasa wa facebook wa mtangazaji wa kipindi cha michezo toka 98.4 Dodoma fm radio Geofrey Moses Kalunduka amepost video alivyotembelea mazoezi ya timu ya wanawake wa mpira wa miguu mkoani Dodoma Bao Bao queens ambapo ametupatia video akimuonesha msichana mmoja wapo akiuchezea mpira kwa kiwango cha uwezo wa juu.

BONYEZA HAPA MOJA KWA MOJA UITAZAME VIDEO HIYO.
BONYEZA HAPA MOJA KWA MOJA UITAZAME VIDEO HIYO.