(VIDEO) WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AIPONGEZA 98.4 DODOMA FM RADIO KWAKUCHANGIA WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHIMKOANI KAGERA. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, October 8, 2016

(VIDEO) WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AIPONGEZA 98.4 DODOMA FM RADIO KWAKUCHANGIA WAATHIRIKA WA TETEMEKO LA ARDHIMKOANI KAGERA.

Katika mkutano wa vyombo vya habari mkoani Dodoma ulio itishwa na mh waziri mkuu Kassim Majaliwa amewataka waandishi wa habari mkoani Dodoma kuwahabarisha wananchi juu ya makao makuu mkoani hapa pamoja na vitu vya kuvutia vinavyo patikana mkoani Dodoma.

pamoja na hayo aligusia uhamasishaji kwa wananchi kujua umuhimu wa kuchangia majanga mbalimbali, pamoja na hayo Dodoma fm radio ilichangia kiasi cha fedha kwa ajili ua waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.
TAZAMA VIDEO HAPA.


Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages