![]() |
wise one na jacco beat |
Anaitwa Jaco Beat ni msanii anae shikiria tuzo ya msanii bora wa kiume mkoani Dodoma ambaye kwasasa anatamba na wimbo wake wa I miss you, amesema wimbo unaofatwa kwasasa ni wimbo ambao ameshirikiana na msanii mwenzake kutoka Dodoma ambaye ni Wise One
amezungumza hayo wakati akiongea na mtangazaji wa kipindi cha micharazo time toka 98.4 Dodoma fm radio Benedict Ngelangela nakueleza anatarajia wimbo huo utafanya vizuri kwakua wote ambao wameshiriki ni waimbaji wazuri na wanujua muziki vizuri zaidi.
Na Benedict Ngelangela