
Na tarehe ya leo sept 28, 2016 amezaliwa msanii wa muziki One six kutoka Dodoma huku akishare tarehe moja na Young Jeezy.
sasa kupitia show ya micharazo time ya 98.4 Dodoma fm radio inayoongozwa na Benedict Ngelangela imetoa historia zao kidogo pamoja na ngoma ambazo waliwahi kuzitoa nakufanya vizuri zaidi.
MSIKILIZE SULEIMANI JUMA KODIMA AKITUSOGEZEA KILA KITU.