Leo amezaliwa msanii mwenye uwezo mkubwa kiumbaji mkoani Dodoma anaitwa ONE_SIX, ambaye amefanya vizuri kupitia nyimbo zake kibao kama beautiful, Wina, Maya N.K.
Kwasasa ONE_SIX anaendelea kufanya poa kupitia wimbo alioshirikishwa na msanii mwenzake Mch ZAYUMBA.
HAYA NI MANENO ALIYOYAANDIKA KUPITIA UKURASA WAKE WA FB.
 |
Happy b day to me.......mungu ni mwema mpaka sasa hawajafanikiwa kuniogesha maana nlipojificha ni noma....
HAWA NI BAADHI YA WATU WALIO TOA MANENO YAO KWA MKALI ONE SIX.
Hbd to u de baddest singer in dom...blessed mwanang OneSix Victor
Long liv yng brother wth mafanikio teleee
— feeling happy.
Happy bday commando langu limjomba langu,damu yng,daah sijui nisemeje ankol Wng ila mungu akujalalie Maisha yenye mafanikio
|