MONI CENTRALZONE AVUNJA REKODI KWA WASANII WA DODOMA, AVUNJA REKODI KWA KUFIKISHA VIEWS....... KWA SIKU 5 TU. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, July 20, 2016

MONI CENTRALZONE AVUNJA REKODI KWA WASANII WA DODOMA, AVUNJA REKODI KWA KUFIKISHA VIEWS....... KWA SIKU 5 TU.

Msanii wa muziki kutoka mkoani dodoma ameweza kuandika historia mpya kwenye muziki wa miaka hii kwa wasanii wanao kuja kwa kasi baada ya video yake ya sembe dona kufikisha views elfu kumi kwa siku tano tu toka itoke.

kupitia account yake ya insta na facebook Moni amepost screenshot zilizoambatana na ujumbe kwa watu wanao msaport pamoja na kwa watu ambao wameshaitazama video yake mpya iliyo ongozwa na Dir Nicklass.

‪#‎shukran‬ sana my blood @izzo_biznesss @izzo_biznesss always unanipa sana moyo bro! Mungu atakulipa ‪#‎push_it_to_the_limit‬ ‪#‎sembedona‬‪#‎linkonmybio‬

 
TAZAMA VIDEO HAPA KAMA BADO HAUJAICHEKI.
...

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages