DIR NICKLASS |
Nicklass amesema wimbo ambao alihitaji kufanya nao kazi toka kwa Onesix ni wimbo wa Beautiful lakini tangu ampe taarifa mmiliki wa nyimbo hiyo hajajibiwa lolote mpaka sasa.
kwaupande mwingine Nicklass amesema baada ya kumuomba wimbo huo wa beautiful Onesix alimpelekea wimbo wa Umependeza ambao alikuwa ameshirikishwa na msanii mwenzake.
lakini ikumbukwe kuwa kwasasa Onesix anawimbo ambao kamshirikisha Giftedson unaitwa WINA ni wimbo ambao unafanya vizuri kwasasa kwenye media za dodoma kwahiyo anaweza kuifanya hiyo kama fursa ya kufanya kazi na dir huyo anae kuja kwa kasi zaidi.
Credit MICHARAZO TIME 98.4 DODOMA FM RADIO