
na wapo ambao ndio wanapeperusha bendera hiyo ambao ni Jacqueline Materu aliye tamba na movie yake ya JINA LANGU ambayo ukisafiri mara moja au mbili kwenye mabsi lazima utakuta wakiangalia movie hiyo, lakini pia yupo Rachel Njingo alie taka kutikisa na Movie yake ya Claritha lakini haikufanikiwa kufika mbali sana kutokana na kuwa na kiwango cha chini (low quality) lakini kwasasa anatamba na movie iitwayo the dea samson. Pia yupo Sonnatha Nduka mwenye uwezo wa kuhariri movie pamoja na kuigiza.
sasa kwa takribani miaka miwili ushindani ulikuwa kwa Rachel Njingo pamoja na Jacqueline Materu nasasa Sonnatha nae anakuja kuweka chachandu kupitia movie yako mpya iitwayo Kesho yangu.
kupitia ukurasa wake wa facebook Sonnatha amepost picha na kusema mashabiki wakae mkao wa kula.
Najua watu wengi walikuwa wanatamani kuuona uwezo wangu mbali na kuedit...kitu hii hapa inakuja soon ntakwambia tarehe rasmi ambayo huu mzigo utakuwa madukani....stay calm my dear fans... #huumchezohauhitajihasira kurdoza linalokujua kuchimbua kila kitu... #keshoyangudateloading....
@niva_supermariyoo @gosbertmvungi
pia aliambatanisha na cover ya movie hiyo.
