
lengo kubwa la kuhitisha kikao hicho ni kutaka kutambua matatizo yanayosababisha wasanii wa dodoma kushindwa kufika mbali kupitia sanaa yao.
miongoni mwa watu waliopata nafasi ya kuzungumza kwa niaba ya wasanii wa dodoma ni msanii mkongwe G SOLO na kusema anaomba dodoma iteuliwe sehemu ya kuweka sanamu ya marehemu Albert Mangwea.
video na picha kwa hisani ya THE CAPITALTZ BLOG.