BAADA YA KUFANYA KWENYE FILAMU YA MAHARI YA DADA PAMOJA NA NUSU NUSU SASA DVJ TONY TOKA DODOMA KUJA NA HII MPYA - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, May 3, 2016

BAADA YA KUFANYA KWENYE FILAMU YA MAHARI YA DADA PAMOJA NA NUSU NUSU SASA DVJ TONY TOKA DODOMA KUJA NA HII MPYA

Licha ya kwamba alijipatia sifa baada ya kushirikishwa kwenye movie ya MAHARI YA DADA pamoja na Movie mpya ya NUSU NUSU wakuitwa Anthon Benedict ameingia location kutengeneza filamu mpya ambayo inachezwa ndani ya mkoa wa dodoma
dj tony akiwa location kwa ujio wa filamu mpya

 TAZAMA FILAMU MPYA NUSU NUSU AMBAYO BADO KIDOGO KUINGIA SOKONI.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages