sasa weka macho yako kwenye hii video hii uone mambo yake ni balaa
Ukiambiwa dodoma kuna vipaji hutakiwa kubisha na kwakulithibitisha hilo, nakuletea video mpya ya kaunguza ndondo toka kwa big born 90, sasa huyu hapa ni video queen mpya kabisa aliye kimbiza kwenye video hiyo.