![]() |
MONI |
Kwenye picha hiyo MONI anaonekana kumpulizia Moshi wa(........) shilole kwa kutumia mdomo na SHILOLE nae kuupokea kwa kutumia mdomo.
djrodger kupitia facebook yake aliandika maneno haya kupitia picha hiyo.
Mmmmh
iv ni Macho yangu au naota huyu ni Msanii wa Dodoma anaitwa Moni mzee
wa Sembe Dona hii pc nimeona sehem ss Kwa kuangalia hii pc haraka haraka
watakuwa wanatoka na Shishi c ndio?na km wanatoka unamshaur nn huyu
kijana###Lakini kwa Moo in4@@Uskose kwny Google in4@@Abm Radio 2tapata undani zaid
![]() |
MONI +SHILOLE |
baada ya hapo baadhi ya wadau walianza kuporomosha maoni yao
Amigo Desperado acha ambust dogo ampe kiki
Notabene Emmanuel Mwakamala aka Msela wa Yesu wa Second Generation KYELA. mwenyewe na ndio kioo cha jamii
Gilbert Msenzi Hayo maupendo tu.
Clifford Hezron Mwana Nyanda Asipoangalia ataishia kusimulia tu kuwa aliwahi kuwa msanii
Rahabu Mapuli Mapenz hayana mshauri
Clifford Hezron Mwana Nyanda Na kweli maana yakikolea hata watumie lugha zote kukushauri huwezi kumsikoliza mtu.

Write a reply...
Jasmin Mkojera Huhuhuu
Nasma Rashidi Hapo ndio bas ten hadi azinduke ndio atasikia kama mwenzie kabakiwa na ningejua
Hassan Saidi Kikoti Pande za uheheni mailimbili
Ndio wasanii wenu wasasa
Mwache ajidai kwa kiki hiyo
Ndio wasanii wenu wasasa
Mwache ajidai kwa kiki hiyo
Lucas Jonas iyo kiki
Cash Bamzo TZ play sembe dona ya mon itakuwa poa kwa wana
Josephine Charles ahahahaahaha kiki hizo
MrTz Wa DomTz Duuu jama kabugi
Kapitu Omary Kapitu Hhhha
SOMA MAONI YA WADU WA MUZIKI.