![]() |
Gifted son wakwanza kushoto |
kupitia account yake ya facebook Giftedson ametumia ubunifu mkubwa kumwish happy birthday rafiki yake huyo na mwanmuziki mwenzake wa hip hop Uncrecable ambaye kwasasa anatumia jina la Wamelodies.
UJUMBE ULISOMEKA HIVI.
baadhi ya wasanii wanapotengana kwenye makumdi hugeuka kuwa maadui lakini kwa hili ambalo amelifanya Gifted ni jambo la kiungwana sana kwani watu wengi hudhani kuwa hawa jamaa wametengana na kazi hawafanyi pamoja lakini ushkaji unaendelea pale pale.