MONI WA CENTRAL ZONE ATANGAZA KUTAFUTA MANAGEMENT ITAKAYO MSIMAMIA KWENYE KAZI ZAKE. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, March 22, 2016

MONI WA CENTRAL ZONE ATANGAZA KUTAFUTA MANAGEMENT ITAKAYO MSIMAMIA KWENYE KAZI ZAKE.

Mkali aliye weza kuziteka akili za watu wengi baada ya kuachia ngoma yake ya kirukuu pamoja na sembe dona kupitia mitandao yake ya kijamii facebook na Instagram ametoa sababu ambazo zimepelekea kutangaza kuwa anahitaji kufanya kazi chini ya management.
moni awadhi centralzone
HII NI POST AMBAYO AMEIANDIKA MONI CENTRALZONE
Ndugu zangu. Mimi MONI CENTROZONE, kijana naejiamini nina uwezo mkubwa sana, kimuziki pia kupambana na maisha ya kawaida... Nimehangaika zaidi ya miaka 6 kwenye sanaa, mpaka mwaka jana nilipoachia nyimbo yangu iitwayo KIRIKUU..... 
ambayo imenipa status na mwanga mzuri sana kwenye industry.. Takriban miaka yote nimekuwa nikifanya kazi bila management bila donor au mfadhili yoyote yule, zaidi ya junior makame (j murder) ambae amenipa offer ya kurekodi albam moja bure. Ukiachilia hapo vitu vyote kuhusu mziki wangu nafanya mwenyewe.. Hii sio nzuri hasa kwa kipindi hiki cha ushindani ambapo mziki ni moja ya ajira kubwa sana nchini kwetu. ninatangaza rasmi kuwa NATAFUTA MANAGEMENT ya kufanya nayo kazi ili niweze kuusogeza zaidi mziki wangu Africa nzima na dunia. Uwezo ninao, kujituma nimebarikiwa, discplin na focus pia nina degree ya chuo kikuu hii ni kiashiria cha ufaham wangu ni mkubwa kiasi gani. NIMEHANGAIKA NIMETESEKA SANA NA SANAA nahitaji msaada ndugu zangu.
kama umeguswa unaweza kusambaza huu ujumbe au kuniunganisha na management nzuri hapa nchini ‪#‎asanteni‬ mungu awabariki
@moni_centrozone #0656343626 ‪#‎kirikuu‬ ‪#‎sembedona‬ my latest hits


MONI kwasasa anakimbiza kwenye radio station mbalimbali kwa wimbo wake wa sembe dona pamoja na kirikuu pia ikumbukwe kuwa moni ndiye anaye shikilia tuzo ya msanii bora wa hip hop kanda ya kati kupitia tuzo za nyambago.

NA benedict ngelangela

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages