ewe mzazi mpe fursa mwanao akafurahia likizo fupi na marafiki zake pale area d club 84 kwa kiingilio cha shilingi 2000 tu, huku akicheza michezo kibao na zawadi kutolewa kwa mshindi.

About inngelangelanews.blogspot.com
msanii wa mziki kutoka WCB amepokelewa kwa kishindo baada ya kushinda tuzo ya BET, na wakazi wa Dar es salaam walijitokeza kumpokea. TAZAM...