
sasa anawaalika wakazi wa mpwapwa wote kwa kiingilio cha shilingi 5000 kuhudhulia kwenye show ambayo itaambatana na kutafuta vipaji kwa waimbaji, wacheza muzik na nk.
kama unakipaji hakikisha haikupiti ewe mkazi wa mpwapwa.
About inngelangelanews.blogspot.com
msanii wa mziki kutoka WCB amepokelewa kwa kishindo baada ya kushinda tuzo ya BET, na wakazi wa Dar es salaam walijitokeza kumpokea. TAZAM...