![]() |
kok teila, darasa na bujanlau |
SOMA ALICHOKIANDIKA.
On behalf#of Dom stand up#team#street Announcment#Ngoma mpya ya buja ft darasa iko ready#but still niga#kuna vitu anafix out#km kuandaa cover #na tarehe rasmi atakayo dondosha ngoma yk#pia buja bado anachonga na wadau wawili watatu#hususan#presenters#and Djz coz#wadau ndo nguzo kuu ktk harakat zk#so vikikaa poa#he will let us know#kwa fans wa buja#na raia wote#wanaotaka kujua #jina la ngoma hiyo#ataweka wazi muda ukifika#na posters zitakazokuwa zikipostiwa#kwenye social media#aka#FB#INST#na mitandao mingine ya kijamii#itaweka wazi#jina la ngoma#na lini itaachiwa kwenye redio#na mkito# producer wa ngoma hiyo ni G brain#much respect kwa buja@Darasa@Gbrain #kwa kufanikisha mzigo huu#mr knowlege#Bujanlau De King#2016 wth great success#stay turne#OVER
kwasasa bujanlau anatamba na wimbo wake uitwao knowledge aliomshiriksha onesix
kwasasa bujanlau anatamba na wimbo wake uitwao knowledge aliomshiriksha onesix