MTANGAZAJI WA KIBO FM AWAJIA JUU WASANII, ATOA MANENO KWA WOTE WALIO NA TABIA YA NAMNA HII. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, February 7, 2016

MTANGAZAJI WA KIBO FM AWAJIA JUU WASANII, ATOA MANENO KWA WOTE WALIO NA TABIA YA NAMNA HII.

Mtangazaji wa vipindi vya burudani pale KIBO FM Deogratius Kessy akiwa ndani ya studio za radio hiyo zilizopo mjini Moshi amandika katika ukurasa wake wa facebook kuwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya hususani wanaotokea mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wasijidanganye kutoa hongo kwake ili awapigie nyimbo zao yeye anachojali ni ubora wa kazi ya msanii ndio itakayochezwa kwenye kipindi cha burudani radioni hapo
 Mtangazaji maarufu wa vipindi vya burudani hususani FLEVA NO LIMIT ya kibo fm Bwana DEOGRATIUS KESSY  leo amefunguka juu ya wasanii wachanga wanaotoa nyimbo zisizo na mvuto au ubora kisha kuwahonga watangazaji wa vipindi vya burudani ili wazipige radioni, amesema kuwa kufanya hivyo ni kukiuka maadaili ya utangazaji lakini pia ni kuua vipaji vya wasanii wachanga .   

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages