
Leo ni tarehe 27 jan 2016 tarehe na mwezi kama huu amezaliwa kijana na msanii kutoka dodoma AINEA WA SINAMPANGO nae, na birthday party yake itafanyika pale kill time makulu na wasanii kibao watahusika kama Mch zayumba, Rap Naion, Akray, Shebby Love na Ainea mwenyewe ni kwa kiingilio cha shilingi elfu tano tu.
