IMEBAKI SIKU MOJA TU BIRTHDAY PARTY YA AINEA KUFANYIKA, BURUDANI NI BALAA SANA USIKOSE. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, January 26, 2016

IMEBAKI SIKU MOJA TU BIRTHDAY PARTY YA AINEA KUFANYIKA, BURUDANI NI BALAA SANA USIKOSE.

Ewe mkazi wa dodoma ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imewadia sasa ni masaa kadhaa tu ya kiburudani yamebakia huku ile tukiambatanisha na siku ya kzaliwa kijana wetu kutoka dodoma wakuitwa ainea.

wapo vijana wenye vipaji kede kede watakao achia bonge la burudani Mch Zayumba, Rapnation, Shebby Love , Nillah na wengine wengi.

hii yote ni kwa mtonyo wa shilingi elfu tano tu.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages