
mimi ni mmoja wa watu walio bahatika kushuhudia behind the scene ya video ya msanii kutoka dodoma ambae ni OBBY MLATINO, miongoni mwa vitu ambavyo ni tofauti humo ndani nmegundua kuwa kuna dada ambaye amecheza kama video queen ameonesha utofauti ambao video nyingi tumekuwa tukizikosa kwa mavideo kqueen wengi.

Video queen huyo ameonesha uwezo mkubwa wa kuigiza na kuitendea haki script kwani yeye ndo muhusika mkuu, pia mavazi aliyo vaa yamekuwa ni tofauti kwani hajaonesha viungo vyake vya mwili lakini amependeza kupita kiasi.
hivi karibuni video hiyo ya OBBY MLATINO inatarajiwa kuachiwa na tayari muongozaji erick backamaza tayari ameimaliza.
OBBY MLATINO VIDEO COMING SOON......................... DONT MISS.