![]() |
bakamaza kwenye pozi |
backamaza amepost picha hiyo ikionekana anapika huku kuni za kupikia zikiwa ni noti noti za elfu kumi kumi, je ni kabila gani wenye tabia hizo za misifa? na kwanini ameuliza hilo swali hilo?
baadhdi ya watu wamekuwa wakitoa comment na kuishia kucheka na wengine wakishangaa tu.
ITAZAME PICHA HII.
![]() |
erick bakamaza na kituko cha mwaka |
ERICK BACKAMAZA kwassasa anajiandaa kuachia video aliyoongoza ya msanii obby mlatino sasa kaa tayri kwa ujio mzuri na video iliyo vuka viwango.