NILLAH -- WEMBAMBA WANGU SIO KIKWAZO CHA KUTOZUNGUSHA MAUNO STEJINI. - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, January 19, 2016

NILLAH -- WEMBAMBA WANGU SIO KIKWAZO CHA KUTOZUNGUSHA MAUNO STEJINI.

Ni msanii wa muziki kutoka dodoma wakuitwa Nillah ambaye kwasasa ni mwanafunzi wa muziki THT amesema anajivunia sana kuwa mwembamba kwani ndicho kitu kinachomfanya ajisikie huru zaidi.

akizungumza na mwandishi wa mtandao huu wakati akiulizwa atafanya kitu gani kwenye show ya birthday party ya msanii mwenzake Ainea Nillah amesema ni ataonesha kitu tofauti sana kwenye show hiyo ambacho watu hawata weza kuamini.

Nillah ameongeza na kusema watu wasishangae kuwa mwili wake ni mwembamba kiasi gani lakini kazi ya kukata mauno kwaupande wake ni sawa na kula chakula kwani kitu rahisi sana.

@@@@yani watu wasione mi nimwembamba kiasi gani lakini kwenye mauno ni balaa@@@@ alisema Nillah.

Show ya birthday party ya Ainea itafanyika mji mdogo makulu siku ya tar 27jan 2016. kwa kiingilio cha sh elfu tano tu.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages