JACCO BEAT AWAOMBA MASHABIKI ZAKE WAMPIGIE KURA KWENYE TUZO ZA NYAMBAGO CENTRAL ZONE AWARDS - NGELANGELA NEWS

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, February 7, 2016

JACCO BEAT AWAOMBA MASHABIKI ZAKE WAMPIGIE KURA KWENYE TUZO ZA NYAMBAGO CENTRAL ZONE AWARDS

Ni msanii ambaye kwassasa anatamba na wimbo wake wa I MISS YOU kupitia radio na TV, KUPITIA UKURASA WAKE WA FACEBOOK AMEPOST MAELEZO YA KUWAELEZA MASHABIKI ZAKE KUWA YUPO kwenye tuzo za nyambago awards.

 
nyambago central zone awards z back na kuanzia kesho kura zitaanza kupigwa na mimi @jacobeatz niko nominated kama msanii bora wa bongo fleva wa kiume kanda ya kati ......... kuanzia kesho ntaomba sapoti yako kutokana na code ntakazotoa kwa kunipigia kura niweze kunyakua tuzo tarehe 26 @nyambagoawards

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages