![]() |
sonnatha abdalah kwenye pozi |
pia ameelezea ishu ya kutokuwa na maelewano mazuri kati yake na muigizaji mwenzake Jacqueline Materu na kusema msimamo wako juu ya hilo.
SONNATHA AMBAYE ALIKUWA NI MTANGAZAJI WA 97.7 NYEMO FM AMENUKULIWA AKIYASEMA HAYA KUPITIA MICHARAZO TIME AMBACHO HUONGOZWA NA BENEDICT NGELANGELA.
NA HIZI NDO SENTENSI ZAKE TANO KUU.
1. Sina maelewano mazuri na hatusalimiani na JACQUELINE MATERU
2.Sina mpango wa kukutana nae na kusalimiana na JACQUELINE MATERU
3.Fungu likiwepo naweza kufanya kazi na JACQUELINE MATERU
4. naijua account ya MALKIA WA DOM na napenda anacho kifanya.
5. mimi si mmilki wa account ya MALKIA WA DOM mwenye ushahidi ajitokeze.
![]() |
jaqueline materu kwenye pozi la selfie. |